Maombolezo
Kutoka Wikipedia
Kama nyongeza ya kitabu cha nabii Yeremia tuna kile cha Maombolezo (kwa Kiyahudi איכה , Eikha) kuhusu maangamizi ya Yerusalemu (587 K.K.).
Katika mashairi hayo matano inaonekana toba halisi iliyotokana na tukio hilo.
Hatujui yametungwa na nani.
Categoria:Dini Categoria:Misahafu Categoria:Biblia