Kisukuma
Kutoka Wikipedia
Kisukuma ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wasukuma. Inafanana sana na Kinyamwezi.
[hariri] Viungo vya nje
- http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=suk
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kisukuma)
[hariri] Marejeo
- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Batibo, Herman. 1985. Le kesukuma (langue bantou de Tanzanie): phonologie, morphologie. (Éditions recherche sur les civilisations, cahier no 17.) Paris: Centre de Recherches, d’Echanges et de Documentation Universitaire (CREDU). Kurasa 340. [ISBN 2-86538-126-0]
- Richardson, Irvine. 1966. A vocabulary of Sukúma [kuhaririwa na Michael Mann]. African language studies, 7, uk.1-79.
Makala hiyo kuhusu "Kisukuma" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Kisukuma kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |