Kimbugwe
Kutoka Wikipedia
Kimbugwe ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wambugwe. Kinafanana na Kirangi, na Warangi wengi wanadai kwamba Kimbugwe ni lahaja ya Kirangi tu. Kisayansi lakini Kimbugwe ni lugha yenyewe kwa vile asilimia 74 tu za msamiati wake zina chanzo kimoja na Kirangi. Wasemaji wakikutana wanagundua kuwa lugha hizo mbili hazitambulikani moja kwa nyingine bila kujifunza ile nyingine.
[hariri] Viungo vya nje
- http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=mgz
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html
[hariri] Marejeo
- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Dempwolff, Otto. 1915/16. Beiträge zur Kenntnis der Sprachen in Deutsch-Ostafrika. Teil 7: Buwe (Mbugwe). Zeitschrift für Kolonialsprachen, 6, uk.1-27.
Makala hiyo kuhusu "Kimbugwe" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Kimbugwe kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |