Kasanga
Kutoka Wikipedia
Kasanga ni mji upande wa Kusini-Magharibi wa Tanzania mwambaoni kwa Ziwa Tanganyika. Wakati wa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani, Kasanga iliitwa "Bismarcksburg" (kufuatana na Otto von Bismarck).
Makala hiyo kuhusu "Kasanga" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Kasanga kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |