Karagwe
Kutoka Wikipedia
Wilaya ya Karagwe ni wilaya moja ya Mkoa wa Kagera. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 425,476 [1].
Makala hiyo kuhusu "Karagwe" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Karagwe kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |