Kakamega
Kutoka Wikipedia
Kakamega ni makao makuu ya Mkoa wa Magharibi wa Kenya. Mji una wakazi 73,607 (sensa ya 1999).
Kakamega iko takriban 100 km kaskazini ya Kisumu. Tangu mwaka 2006 chuo cha Kakamega kimepanishwa kuwa Chuo Kikuu cha Malinde Musiro (Masinde Muliro University of Science and Technology).
Makala hiyo kuhusu "Kakamega" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Kakamega kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |