James Cronin
Kutoka Wikipedia
James Watson Cronin (amezaliwa 29 Septemba, 1931) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza nadharia ya atomu na uhusiano wake na wakati. Mwaka wa 1980, pamoja na Val Fitch alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.