Igunga
Kutoka Wikipedia
Wilaya Igunga ni wilaya moja ya Mkoa wa Tabora. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 325,547 [1].
Makala hiyo kuhusu "Igunga" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Igunga kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |