Cosmas Mtakatifu
Kutoka Wikipedia
Cosmas Mtakatifu (alifariki takriban 303) alikuwa daktari katika maeneo ya Uturuki. Pia alikuwa kaka ya Damian Mtakatifu. Hali ya maisha na kifo chake haijulikani kwa uhakika. Sikukuu yake ni 27 Septemba. Takriban mwaka wa 530, Papa Felix IV alijenga kanisa katika mji wa Roma ili kuwaheshimu Cosmas na Damian Watakatifu.