Charles Bronson
Kutoka Wikipedia
Charles Bronson |
|
---|---|
|
|
Jina la kuzaliwa | Charles Dennis Buchinsky |
Alizaliwa | 3 Novemba, 1921 Marekani |
Kafariki | 30 Agosti, 2003 |
Ndoa | Harriet Tendler (1949-1967) Jill Ireland (1968-1990) |
Charles Bronson (alizaliwa kama Charles Dennis Buchinsky, tar. 3 Novemba, 1921, na kufariki dunia tar. 30 Agosti, 2003) alikuwa muigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani, alikuwa akiitwa "Mtu Shupavu". Filamu nyingi alipendelea kucheza kama askari mpelelezi, Pia mpiganaji wa wa kutumia silaha katika filamu za western ambayo moja kati ya filamu hizo ni ile aliocheza na Henry Fonda chini ya uongozi wake Sergio Leone katika Once Upon a Time in the West iliyochezwa 1968.
Yaliyomo |
[hariri] Wasifu
[hariri] Maisha ya Mwanzo
[hariri] Maisha Binafsi
[hariri] Filamu alizoigiza
- The People Against O'Hara (1951)
- The Mob (film)|The Mob (1951)
- The Marrying Kind (1952)
- My Six Convicts (1952)
- Pat and Mike (1952)
- Battle Zone (film)|Battle Zone (1952)
- House of Wax (1953 film)|House of Wax (1953)
- Crime Wave (1954 film)|Crime Wave (1954)
- Apache (film)|Apache (1954)
- Vera Cruz (film)|Vera Cruz (1954)
- Big House USA 1955
- Jubal (1956)
- The Magnificent Seven (1960)
- Master of the World (1961 film)|Master of the World (1961)
- X-15 (film)|X-15 (1961)
- Kid Galahad (1962)
- The Great Escape (1963)
- 4 for Texas (1963)
- Battle of the Bulge (film)|Battle of the Bulge (1965)
- The Sandpiper (1965)
- This Property Is Condemned (1966)
- The Dirty Dozen (1967)
- Honor Among Thieves (film)|Honor Among Thieves (1968)
- Once Upon a Time in the West (1968)
- Lola (1969 film)|Lola (1969)
- Rider on the Rain|Le Passager de la Pluie (1969)
- The Family (1970 film)|The Family (1970)
- Cold Sweat (1970 film)|Cold Sweat (1970)
- Red Sun (1971)
- Chato's Land (1972)
- The Valachi Papers (1972 film)|The Valachi Papers (1972)
- The Mechanic (1972)
- The Stone Killer (1973)
- Chino (1974)
- Mr. Majestyk (1974)
- Death Wish (film)|Death Wish (1974)
- Breakout (film)|Breakout (1975)
- Breakheart Pass (1975)
- Hard Times (1975 film)|Hard Times (1975)
- St. Ives (1976 film)|St. Ives (1976)
- From Noon Till Three (1976)
- Telefon (1977)
- The White Buffalo (1977)
- Raid on Entebbe (film)|Raid on Entebbe (1977)
- Love and Bullets (1979)
- Borderline (1980)
- Death Hunt (1981)
- Death Wish II (1982)
- 10 to Midnight (1983 in film|1983)
- The Evil That Men Do (film)|The Evil That Men Do (1984)
- Death Wish 3 (1985)
- Act of Vengeance (1985)
- Murphy's Law (film)|Murphy's Law (1986)
- Assassination (1987 film)|Assassination (1987)
- Death Wish 4: The Crackdown (1987)
- Messenger of Death (1988)
- Kinjite: Forbidden Subjects (1988)
- The Indian Runner (1991)
- Death Wish V: The Face of Death (1994)
[hariri] Viuongo vya Nje
- Charles Bronson katika Internet Movie Database
- List of Hollywood Republicans
- Tovuti Rasmi ya Charles Bronson
- Tovuti Rasmi ya Charles Bronson
- Tovuti Rasmi ya Charles Bronson ya Kanada
- Tovuti ya Mashabiki wa Charles ya Ujapani