Bandar Seri Begawan
Kutoka Wikipedia
Bandar Seri Begawan ni mji mkuu wa Brunei kwenye kisiwa cha Borneo mwenye wakazi 46,229 (1991). Iko kwa 4°55'N na 114°55'E.
Tangu kupatikana kwa utajiri wa mafuta ya petroli mji umepambwa na majengo mazuri kama vile jumba la Sultani, msikiti ya Sultan Omar Ali Saifuddien. makumbusho ya teknolojia ya Kimalay na makumbusho ya historia ya Brunei.
Kuna pia viwanda vya fenicha na vitambaa.