Amnoni
Kutoka Wikipedia
Amnoni alikuwa mwana wa Mfalme Daudi wa Israeli. Mama yake alikuwa Ahinoamu. Ametajwa katika Agano la Kale, au Biblia ya Kiebrania, katika Kitabu cha Pili cha Samueli, sura ya 3, mstari wa 2.
Makala hiyo kuhusu "Amnoni" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Amnoni kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |