1821
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1818 1819 1820 - 1821 - 1822 1823 1824 |
[hariri] Matukio
- 15 Septemba - Nchi ya El Salvador inapata uhuru kutoka kwa Wahispania.
- 27 Septemba - Hispania inatambua uhuru wa Mexiko katika mkataba wa Cordoba
- 28 Novemba - Nchi ya Panama inapata uhuru kutoka Hispania ikawa sehemu ya nchi Kolombia chini ya Simon Bolivar.
[hariri] Waliozaliwa
- 21 Januari - John Breckinridge, Kaimu Rais wa Marekani (1857-1861)
[hariri] Waliofariki
- 4 Januari - Elizabeth Ann Seton
- 5 Mei - Napoleon Bonaparte, Mfalme wa Ufaransa
- 3 Juni - Egwale Seyon, Mfalme Mkuu wa Uhabeshi