Tuzo ya Nobel ya Amani
Kutoka Wikipedia
Tuzo ya Nobel ya Amani inatolewa na kamati ya Nobel ya Norway iliyochaguliwa na Bunge ya Norway kufuatana na wasia ya Alfred Nobel.
Tangu mwaka 1901 tuzo imepokelewa na watu wafuatao au taasisi zifuatazo:
1901 Henri Dunant na Frederic Passy
1902 Elie Ducommun na Charles-Albert Gobat
1903 Randal Cremer
1904 Taasisi ya Haki ya Kimataifa
1905 Bertha von Suttner
1906 Theodore Roosevelt
1907 Ernesto Teodoro Moneta na Louis Renault
1908 Klas Pontus Arnoldson na Fredrik Bajer
1909 Auguste Beernaert
1910 Ofisi ya Kimataifa ya Amani
1911 Tobias Asser na Alfred Fried
1912 Elihu Root
1913 H. La Fontaine
1914-16 (hakuna tuzo ya Amani)
1917 Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu
1918 (hakuna tuzo ya Amani)
1919 Woodrow Wilson
1920 Leon Bourgeois
1921 Karl Hjalmar Branting na Christian Louis Lange
1922 Fridtjof Nansen
1923 (hakuna tuzo ya Amani)
1924 (hakuna tuzo ya Amani)
1925 Austen Chamberlain na Charles Dawes
1926 Aristide Briand na Gustav Stresemann
1927 Ferdinand-Edouard Buisson na Ludwig Quidde
1928 (hakuna tuzo ya Amani)
1929 Frank Kellogg
1930 Nathan Söderblom
1931 Nicholas Butler na Jane Addams
1932 (hakuna tuzo ya Amani)
1933 Norman Angell
1934 Arthur Henderson
1935 Carl von Ossietzky
1937 Cecil of Clelwood
1938 Tume ya Nansen kwa Wakimbizi
1939-43 Tuzo ya Nobel haikutolewa kwa sababu ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia.
1944 Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu
1945 Cordell Hull
1946 Emily Balch na John Raleigh Mott
1947 Jumuiya ya Marafiki (‘’Society of Friends’’)
1948 (hakuna tuzo ya Amani)
1949 John Boyd-Orr
1950 Ralph Bunche
1951 Leon Jouhaux
1952 Albert Schweitzer
1953 George Marshall
1954 Ofisi ya Kamishna wa Umoja wa Mataifa kwa Wakimbizi
1955 (hakuna tuzo ya Amani)
1956 (hakuna tuzo ya Amani)
1957 Lester Pearson
1958 Padre Dominique Pire
1959 Philip Noel-Baker
1960 Albert Lutuli
1961 Dag Hammarskjöld
1962 Linus Pauling
1963 Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu
1964 Martin Luther King
1965 UNICEF
1966 (hakuna tuzo ya Amani)
1967 (hakuna tuzo ya Amani)
1968 Rene Cassin
1969 Shirika la Kimataifa la Kazi (I.L.O.)
1970 Norman Borlaug
1971 Willy Brandt
1972 (hakuna tuzo ya Amani)
1973 Henry Kissinger na Le Duc Tho
1974 Sean MacBride na Eisaku Sato
1975 Andrei Sakharov
1976 Betty Williams na Mairead Corrigan
1977 Amnesty International
1978 Anwar Al-Sadat na Menachem Begin
1979 Mama Teresa
1980 Adolfo Esquivel
1981 Ofisi ya Kamishna wa Umoja wa Mataifa kwa Wakimbizi
1982 Alva Myrdal na Alfonso Gobles
1983 Lech Walesa
1984 Askofu Desmond Tutu
1985 Shirika la Madaktari wa Kimataifa kwa Kuzuia Vita ya Nyuklia
1986 Elie Wiesel
1987 Oscar Sanchez
1988 Majeshi ya Kukinga Amani ya Umoja wa Mataifa
1989 Tenzin Gyatso
1990 Mikhail Gorbachev
1991 Aung San Suu Kyi
1992 Rigoberta Menchu
1993 Nelson Mandela na Frederik Willem de Klerk
1994 Yasser Arafat, Shimon Peres na Yitzhak Rabin
1995 Joseph Rotblat
1996 Carlos Ximenes Belo na Jose Ramon Horta
1997 Jody Williams
1998 John Hume na David Trimble
1999 Shirika la Médecins sans Frontières
2000 Kim Dae Jung
2001 Kofi Annan na Umoja wa Mataifa
2002 Jimmy Carter
2003 Shirin Ebadi
2004 Wangari Maathai
2005 Mohamed ElBaradei