Randal Cremer
Kutoka Wikipedia
Randal Cremer (18 Machi, 1838 – 22 Julai, 1908) alikuwa kiongozi wa chama cha wafanyakazi kutoka nchi ya Uingereza. Anajulikana pia kwa maandishi yake yaliyojaribu kuzuia vita. Mwaka wa 1903 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani. Mwaka wa 1907 alipewa cheo cha “Sir” cha Uingereza.