Soya
Kutoka Wikipedia
Soya ni aina ya maharagwe kutoka familia ya leguminosa. Asili yake iko katika Asia ya Mashariki. Ni zao la mafuta na ina sifa ya pekee ni kiasi kikubwa cha protini katika mbegu wake (40-50%).
Mbegu zake huwa ni njano, nyeupe lakini kuna pia aina za kahawia. Kutokana na lishe yake kubwa kilimo chake kimeenea duniani. Kwa watu wasiokula nyama vyakula kutokana na soya yana mahitaji yote ya protini.
[hariri] Viungo vya Nje
- American Soybean Association
- Cornell University Food and Brand Lab
- Evaluation of Anti-Soy Data and Anti-Soy Advocates
- Guardian - There's no risk to humans from soya
- IITA has CGIAR global mandate for Soybean research for development
- International Institute of Tropical Agriculture
- Soy information
- Soy information at Soyatech
- Soy Heart healthy claims in dispute
- Soyinfo Center - SoyaScan database and books
- Soy Protein Information
- United Soybean Board
[hariri] Hasara za kilimo cha Soya
- AlterNet: Health & Wellness: The Dark Side of Soy
- Concerns Regarding Soybeans
- Guardian - Should we worry about soya in our food?
- Health Canada: Soy - One of the nine most common food allergens
- Soy Allergy Information Page Asthma and Allergy Foundation of America
- Soy Online Service