Seattle (mji)
Kutoka Wikipedia
Seattle ni mji katika jimbo la Washington (ncha ya magharibi na kaskazini ya Marekani).
Seattle ni bandari ya uziwa. Seattle na Mombasa (Kenya) ni miji-ndugu.
[hariri] Uchumi
Mji umejulikana kimataifa hasa kwa sababu hadi 2001 ilikuwa makao makuu ya kampuni ya Boeing inayojenga ndege za abiria na mizigo.