Mesopotamia
Kutoka Wikipedia
Mesopotamia ni neno lenye asili ya Kigiriki lenye maneno asilia ya "meso" (kati ya) na "potamia" (mto, mito), hivyo ni "nchi kati ya mito". Mito hii ni Frati na Hidekeli.
Mesopotamia ilikuwa kati ya nchi penye utamaduni wa kujenga miji ya kwanza kabisa duniani kama vile Sumeri na Babeli.