Marlon Brando
Kutoka Wikipedia
Marlon Brando (3 Aprili, 1924 – 1 Julai, 2004) alikuwa mwigizaji filamu maarufu wa Kimarekani. Anafahamika zaidi kwa kuwa mhusika mkuu katika baadhi ya filamu zilizotamba sana huko miaka ya nyuma, A Streetcar Named Desire (1951), The Wild One (1953), The Godfather (1972), Superman (1978), Apocalypse Now (1979), na The Island of Dr. Moreau (1996).
[hariri] Viungo vya nje
- Marlon Brando katika Internet Movie Database
- Marlon Brando katika TCM Movie Database
- Marlon Brando katika Internet Broadway Database
- Official Website of Marlon Brando
- The Oddfather, Rolling Stone, Jod Kaftan, April 25, 2002
- Marlon Brando: The Actor's Actor
- Quotes from an interview with Newsweek March 13,1972
- Court TV: Christian Brando: A Hollywood Family Tragedy
- Premiere: Remembering Brando