Lugha saidizi ya kimataifa
Kutoka Wikipedia
Lugha saidizi ya kimataifa ni lugha ya kuundwa iliyoundwa kwa ajili ya mawasiliano kati ya watu toka mataifa mbalimbali. Lugha saidizi ya kimataifa inayozungumzwa zaidi ni Kiesperanto. Nyingine ni kama Kivolapuki, Kiido na Kiinterlingua.