Web Analytics Made Easy - Statcounter

See also ebooksgratis.com: no banners, no cookies, totally FREE.

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Lithi - Wikipedia

Lithi

Kutoka Wikipedia


Lithi
(Lithium)
Lithi ya kimetali katika mafuta
Lithi ya kimetali katika mafuta
Jina la Elementi Lithi
(Lithium)
Alama Li
Namba atomia 3
Mfululizo safu Metali alikali
Uzani atomia 6.941
Valensi 1
Densiti 0.534
Kiwango cha kuyeyuka 453.69 K (180.54 °C)
Kiwango cha kuchemka 1615 K (1342 °C)
Asilimia za ganda la dunia 0.006 %
Hali maada imara
Beteri ya lithi
Beteri ya lithi

Lithi ni elementi na metali alikali yenye namba atomia 3 na uzani atomia 6.941 kwenye mfumo radidia. Alama yake ni Li. Jina latokana na kigiriki λίθος líthos "mwamba, jiwe" kwa sabu iligunduliwa mara ya kwanza ndnai ya miamba.

Lithi ni elementi nyepesi kabisa kati ya elementi zote zilizo imara kwa hali ya kawaida. Inamenyuka haraka na maji hivyo husababisha majeraha ikiguswa kwa mkono kwa sababu mmenyuko wake na unyevu wa ngozi.

Kiasili haipatikani kama dutu sahili kwa sababu inamenyuka haraka kikemia lakini iko kwa kampaundi mbalimbali hasa katika miamba ya itale. Lithi tupu inapatikana kwa njia ya kikemia inaonekana kama metali nyepesi yenye rangi nyeupe-kifedha lakii haibaki hivyo kwa muda mrefu. Katika hewa yenye unyevu uso wake huwa haraka ganda la hidroksidi ya lithi yenye rangi kijivu. Kwenye hewa kavu uso huwa nitriti ya lithi yenye rangi kahawia. Kwa sababu ya mimenyuko hii ya haraka lithi ya kimetali hutunzwa ndani ya mafuta.

Matumizi yake ni ndani ya beteri na katika madawa mbalimbali.

[hariri] Isotopi

Kuna isotopi 5 za lithi zenye neutroni 2, 3, 4, 5 na 6 kwenye kiini atomia. Isotopi ya kawaida ni 3Li7 ambayo ni 92.58 % ya lithi yote duniani. Nyingine ni 3Li6 yenye 7.42 % ya lithi yote. Nyingine zapatikana kidogokidogo tu.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Lithi" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Lithi kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.


aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu -