Kingoni
Kutoka Wikipedia
Kingoni ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wangoni. Kimetokana na lugha ya Kizulu Wangoni walipohama Afrika ya Kusini wakati wa Shaka Zulu.
[hariri] Viungo vya nje
- http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=ngo
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kingoni)
[hariri] Marejeo
- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Ebner, Fr. Elzear P. 1951. Grammatik des Neu-Kingoni. Mission Magagura, Tanganyika. Kurasa 87.
- Moyo, Steven Phaniso Chinombo. 1978. A linguo-aesthetic study of Ngoni poetry. PhD thesis. University of Wisconsin at Madison. Kurasa 563.
Makala hiyo kuhusu "Kingoni" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Kingoni kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |