Kanda za dunia
Kutoka Wikipedia
Kanda za dunia za Umoja wa Mataifa ni mpangilio wa nchi za dunia kwa kanda mbalimbali.
Kanda zimepangwa kufuatana na bara. Kusudi la mpangilio huu ni namna ya kuonyesha takwimu kuhusu dunia yetu.
Hali halisi haulingani kila mahali na utamaduni au historia ya kila mahali panapotajwa humo.
- Kanda za Afrika
- Kanda za Amerika
- Kanda za Asia
- Asia ya Kati
- Asia ya Mashariki
- Asia ya Kusini
- Asia ya Kusini-ya Mashariki
- Asia ya Magharibi
- Australia na Pasifiki
- Australia na New Zealand
- Melanesia
- Micronesia
- Polynesia