Asia ya Kati
Kutoka Wikipedia
Asia ya Kati ni eneo kubwa katikati ya bara la Asia. Kuna maelezo yanayotofautiana kati yao kuhusu eneo lenyewe.
[hariri] Nchi zilizokuwa jamhuri za Umoja wa Kisovyeti
Mara nyingi nchi zifuatazo huhesabiwa humo:
Zote zilikuwa jamhuri za Umoja wa Kisovyeti.
[hariri] Elezo la UNESCO
UNESCO imeongeza pamoja na nchi tano hizo nchi zifuatazo:
- Mongolia
- Shinjang (China ya magharibi, pamoja na Tibet)
- Uajemi ya kaskazini-mashariki
- Afghanistan
- Pakistan ya magharibi
- sehemu za Siberia ya kusini (Urusi)
[hariri] Turkestan
Kihistoria eneo hili limeitwa mara nyingi kwa jina "Turkestan" kwa sababu ilikaliwa au inakaliwa hadi leo na watu wanaotumia lugha za Kiturki.