Hermann Emil Fischer
Kutoka Wikipedia
Hermann Emil Fischer (9 Oktoba, 1852 – 15 Julai, 1919) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Baadhi ya utafiti mwingine aligundua usanisi wa glukosi (aina ya sukari). Mwaka wa 1902 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.