Gloria Foster
Kutoka Wikipedia
Gloria Foster |
|
---|---|
|
|
Jina la kuzaliwa | Gloria Foster |
Alizaliwa | 15 Novemba, 1933, Chicago, Illinois Marekani |
Kafariki | 29 Septemba, 2001 |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1964 hadi 2001 |
Gloria Foster (15 Novemba, 1933 – 29 Septemba, 2001) alikuwa mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa jina la Oracle kutoka katika mfululizo wa filamu ya Matrix 1 na 2. Bi. Gloria alifarika dunia mnamo tarehe 29 ya mwezi wa Septemba, kwa ugonjwa wa kisukari. Na akazikwa katika makaburi ya Cypress Hills mjini Brooklyn-Marekani.
Yaliyomo |
[hariri] Filamu alizoiigiza Bi. Gloria Foster
- The Matrix Reloaded (2003) kaiigiza kama The Oracle
- The Matrix (1999) kaiigiza kama The Oracle
- City of Hope (1991) kaiigiza kama Jeanette
- Leonard Part 6 (1987) kaiigiza kama Medusa
- Man and Boy (1972) kaiigiza kama Ivy Revers
- The Angel Levine (1970) kaiigiza kama Sally
- The Comedians (1967) kaiigiza kama Mrs. Philipot
- Nothing But a Man (1964) kaiigiza kama Lee
- The Cool World (1964) kaiigiza kama Mrs. Custis
[hariri] Mfululizo wa televisheni
- Percy & Thunder (1993) kaiigiza kama Sugar Brown
- Separate But Equal (1991) kaiigiza kama Buster
- The Atlanta Child Murders (1985) (miniseries) kaiigiza kama Camille Bell
- House of Dies Drear (1984) kaiigiza kama Sheila Small
- The Files on Jill Hatch (1983) kaiigiza kama Mrs. Hatch
- Top Secret (1978) kaiigiza kama Judith
- To All My Friends on Shore (1972) kaiigiza kama Serena
[hariri] Marejeo ya nje
[hariri] Viungo vya nje
- Gloria Foster katika Internet Movie Database