Carlo Rubbia
Kutoka Wikipedia
Carlo Rubbia (amezaliwa 31 Machi, 1934) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Italia. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza usumaku wa sehemu za atomu. Mwaka wa 1984, pamoja na Simon van der Meer alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.