Tracy Chapman
Kutoka Wikipedia
Tracy Chapman (amezaliwa tar. 30 Machi, 1964) ni mtunzi-mwimbaji wa muziki wa Kiamerika. Anafahamika zaidi nyimbo zake zilizomaarufu, "Fast Car", "Talkin' 'bout a Revolution", "Baby Can I Hold You" na "Give Me One Reason". Pia ni mshindi wa tuzo nyinginyingi za muziki-Grammy kama msanii bora.
[hariri] Viungo vya nje
- Official website
- Tracy Chapman unofficial website
- Tracy Chapman Fansite
- Tracy Chapman Artist pages on Atlantic Records site.
- Fan Channel on YouTube