Thimphu
Kutoka Wikipedia
Thimphu (ཐིམ་ཕུ་ ; pia "Thimbu") ni mji mkuu wa Bhutan. Ni pia jina la bonde penye mji na la mkoa wa nchi.
Mji na mazingira yake una wakazi 50,000 ni mji mkubwa nchini. Anwani ya kijiografia ni 27°28′00″N, 89°38′30″E. Thimphu iko katika magharibi ya nchi ndogo kando la mto Wang Chu kwenye kimo cha 2,736 m.
Makala hiyo kuhusu "Thimphu" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Thimphu kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |