Pua
Kutoka Wikipedia
Pua ni kiungo cha mwili wa watu na wanyama vertebrata. Kazi yake ni kunusu vitu. Inasaidia pia kazi ya kupumua.
Kwa watu na pia wanyama wengi kuna nyewele puani zenye kazi ya filta dhidi ya vumbi.
Makala hiyo kuhusu "Pua" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Pua kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |