Paul Heyse
Kutoka Wikipedia
Paul Johann Ludwig von Heyse (15 Machi, 1830 – 2 Aprili, 1914) alikuwa mwandishi hodari kutoka nchi ya Ujerumani. Anajulikana hasa kwa riwaya fupi zake mbalimbali. Mwaka wa 1910 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.