Mississippi (mto)
Kutoka Wikipedia
Mto Mississippi | |
---|---|
|
|
Chanzo | Ziwa Itasca, Minnesota - Marekani kwa 47°15'N 95°12'W |
Mdomo | Ghuba ya Meksiko - Atlantiki |
Nchi za beseni ya mto | Guinea, Mali, Niger, Benin na Nigeria |
Urefu | 3,780 km |
Kimo cha chanzo | 450 m |
Kiasi cha maji kinachotolewa mdomoni | 18,000 m³/s |
Eneo la beseni (km²) | 3,238,000 km² |
Mto Mississippi ni mto mkubwa wa Marekani ni pia kati ya mito mirefu duniani.
Chanzo chake kipo kaskazini ya Marekani kwenye ziwa Itasca katika jimbo la Minnesota. Inapita majimbo ya Minnesota, Wisconsin, Iowa, Illinois, Missouri, Kentucky, Tennessee, Arkansas, Mississippi, Louisiana na kuishia katika ghuba ya Meksiko karibu na mji wa New Orleans.
[hariri] Tawimito muhimu
Beseni ya Mississippi ni sehemu kubwa ya eneo la Marekani. Tawimito muhimu ni:
- Mto Minnesota
- Mto St. Croix
- Mto Wisconsin
- Mto Illinois
- Mto Missouri
- Mto Ohio
- Mto Arkansas