Komei
Kutoka Wikipedia
Komei (22 Julai, 1831 – 30 Januari, 1867) alikuwa mfalme mkuu wa 121 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Osahito. Tarehe 10 Machi, 1846 alimfuata baba yake, Ninko, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni mwana wake Mutsuhito.
Makala hiyo kuhusu "Komei" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Komei kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |