Kipepeo
Kutoka Wikipedia
Kipepeo ni hali ya metamofosisi ya mdudu wa oda ya Lepidoptera.
Jinsi ilivyo kwa wadudu wengi maisha ya kipepeo hunanza kama yai. Inatoka kwa umbo la kiwavi. Baada ya muda kiwavi huwa bundo. Ndani ya buu hugeuka kuwa kipepeo anayetoka na kutaga mayai tena. Mzunguko huu kwa jumla ni metamofosisi.
Vipepeo huishi kwa muda mfupi. Hula pekee kiowevu hasa cha mbochi wa maua.
[hariri] Mifano ya vipepeo
Makala hiyo kuhusu "Kipepeo" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Kipepeo kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |