Isle of Man
Kutoka Wikipedia
Isle of Man (Kimanx: Ellan Vannin; "Kisiwa cha Man") ni kisiwa baharini kati ya Uingereza na Ueire chenye wakazi 75,000 kwenye eno la 572 km².
Man ni eneo chini ya taji la Uingereza si sehemu ya Uingereza yenyewe. Douglas ni mji mkuu.
Lugha rasmi ni Kiingereza pamoja Kimanx ambacho ni lugha ya kikelti. Hakuna wasemaji wa Kimanx kama lugha ya kwanza tena lakini inafundihswa shuleni.
[hariri] Viungo vya Nje
- Manx Government Website A comprehensive site covering many aspects of Manx life from fishing to financial regulation
- Google Maps Satellite Photo
- Template:CIA World Factbook link
- Isle of Man Guide Large website about the island
- Information on places in the Isle of Man
- Tynwald.org Hansards, Order Papers and Background to the Manx Government.
- Manx Radio The Government/commercial funded radio station for the Isle of Man
- Birching in the Isle of Man 1945-1976 Article about the use of the birch as a judicial punishment in the Isle of Man.
- Manx Notebook Manx History Archive.