Haldan Hartline
Kutoka Wikipedia
Haldan Keffer Hartline (22 Desemba, 1903 – 17 Machi, 1983) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza neva za macho. Mwaka wa 1967, pamoja na Ragnar Granit na George Wald alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.