Frederick Sanger
Kutoka Wikipedia
Frederick Sanger (amezaliwa 13 Agosti, 1918) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mfumo wa molekuli mbalimbali. Alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mara mbili, mwaka wa 1958 peke yake, na mwaka wa 1980 pamoja na Paul Berg na Walter Gilbert.