Francois Jacob
Kutoka Wikipedia
Francois Jacob (amezaliwa 17 Juni, 1920) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza vijidudu mbalimbali. Mwaka wa 1965, pamoja na Andre Lwoff na Jacques Monod alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.