Evo Morales
Kutoka Wikipedia
Juan Evo Morales Aima (* 26 Oktoba 1959) ni rais wa Bolivia tangu 22 Januari 2006. Morales ni Mwaymara na rais wa kwanza anayetoka kati ya wakazi asilia ya nchi.
Alianzisha na kuongoza chama cha Movimiento al Socialismo (harakati kwa ujamaa).