Europa
Kutoka Wikipedia
Europa ni neno katika lugha mbalimbali lenye asili ya Kigiriki "Ευρώπη" la kutaja
- bara la Ulaya
- Europa (dini), binti wa mfalme katika masimulizi ya dini ya Wagiriki wa Kale aliyekuwa mpenzi wa mungu mkuu Zeus
- Europa (mwezi), mwezi wa pili kati ya miezi ya Mshtarii
- 52 Europa, asteroidi katika mfumo wa jua
- Europa (kisiwa), kisiwa ndogo cha Kifaransa katika bahari Hindi ni sehemu ya Îles Éparses
- Europa (kombora) ilikuwa kombora la Kiulaya la kurusha vyombo angani kabla ya kupatikaka kwa makombora ya Ariane
Kuna pia nyimbo, vitabu, meli, gari na michezo ya kompyuta na makampuni zinazoitwa "Europa"