Epsilon
Kutoka Wikipedia
Epsilon (ἒ ψιλόν - "e ya kawaida") ni herufi ya tano katika Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa Ε (herufi kubwa mwanzoni) au ε (herufi ndogo ya kawaida).
Jina la "e ya kawaida" limetokea kwa kuitofautisha na herufi "αι" zilizokuwa na matamshi ileile.
Jinsi ilivyo kawaida na herufi mbalimbali za kigiriki inatumiwa kama kifupi kwa ajili ya dhana mbalimbali katika hesabu na fisikia.
Pesa ya Euro inatunmia epsilon yenye mistari miwili kama alama yake.
Makala hiyo kuhusu "Epsilon" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Epsilon kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |