Conrad Michael Richter
Kutoka Wikipedia
Conrad Michael Richter (13 Oktoba, 1890 – 30 Oktoba, 1968) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika hadithi fupi na riwaya kuhusu historia ya Marekani. Mwaka wa 1951, alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa riwaya yake The Town ("Mji").