Charles Glover Barkla
Kutoka Wikipedia
Charles Glover Barkla (7 Juni, 1877 – 23 Oktoba, 1944) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mionzi ya eksirei na kufanya majaribio nazo. Mwaka wa 1917 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.