Carl Bosch
Kutoka Wikipedia
Carl Bosch (27 Agosti, 1874 – 26 Aprili, 1940) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza njia za usanisi kwa kanieneo kubwa. Mwaka wa 1931, pamoja na Friedrich Bergius alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.