7 Mei
Kutoka Wikipedia
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 7 Mei ni sikukuu yake Mtakatifu Nil Sorsky.
[hariri] Matukio
- 1342 - Uchaguzi wa Papa Klementi VI
[hariri] Waliozaliwa
- 1840 - Pyotr Ilyich Tchaikovsky, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1861 - Rabindranath Tagore (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1913)
- 1867 - Wladyslaw Reymont (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1924)