20 Juni
Kutoka Wikipedia
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 20 Juni ni sikukuu ya Mtakatifu Papa Silverio.
[hariri] Matukio
- 1667 - Uchaguzi wa Papa Klementi IX
[hariri] Waliozaliwa
- 1861 - Frederick Hopkins (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1929)
- 1909 - Errol Flynn (alikuwa mwigizaji filamu maarufu wa Kimarekani, mwaka wa 1959).
[hariri] Waliofariki
- 537 - Mtakatifu Papa Silverio
- 1958 - Kurt Alder (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1950)