1953
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1950 1951 1952 - 1953 - 1954 1955 1956 |
[hariri] Matukio
- 29 Mei - Tenzing Norgay na Edmund Hillary ni watu wa kwanza kufikia kilele cha Mount Everest, mlima mrefu kabisa duniani.
- 18 Juni - Nchi ya Misri imetangazwa kuwa jamhuri.
[hariri] Waliozaliwa
- 1 Januari - Alpha Blondy, mwanamuziki kutoka Cote d'Ivoire
- 16 Mei - Pierce Brosnan, mwigizaji filamu kutoka Ireland
bila tarehe
[hariri] Waliofariki
- 5 Machi - Josef Stalin, kiongozi wa Umoja wa Kisovyeti tangu 1924
- 8 Novemba - Ivan Bunin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1933)
- 27 Novemba - Eugene O'Neill (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1936)
- 14 Desemba – Marjorie Rawlings (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1939)
- 19 Desemba - Robert Millikan (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1923)