Papa Klementi VI
Kutoka Wikipedia
Papa Klementi VI (takriban 1291 – 6 Desemba, 1352) alikuwa papa kuanzia 7 Mei, 1342 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pierre Roger. Alimfuata Papa Benedikt XII akiwa papa wa nne aliyetawala kutoka mji wa Avignon.