Kuala Lumpur
Kutoka Wikipedia
Kuala Lumpur (Jawi:كوالا لمڤور) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Malaysia. Eneo lake ni km² 243.65 na idadi ya wakazi 1,453,978 (mwaka 2005).
[hariri] Jiografia
Kuala Lumpur iko km 35 kutoka pwani la magharibi la rasi ya Malay mahali panapoungana mito ya Gombak na Klang kwenye 3° 09' 35" N 101° 42' 12" O3° 09' 35" N 101° 42' 12" O.