Intaneti
Kutoka Wikipedia
Intaneti ni mtandao wa kompyuta unaowezesha kompyuta mbalimbali duniani kuwa kuwasiliana. Kupitia mtandao huu, watu huweza kutembea webu mbalimbali, kupiga gumzo, na kuandikiana barua pepe.
[hariri] Ona pia
[hariri] Viungo vya Nje
Orodha ya maneno ya tarakishi ya mradi wa Kilinux kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Makala hiyo kuhusu "Intaneti" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Intaneti kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |